Picha

Mashabiki wampigia Salute ya bila nguo Prince Harry kuonesha mshikamano

Watu mbalimbali duniani wameungana pamoja kuonesha support yao kwa Prince Harry katika mfumo wa kupiga salute ya bila nguo kama ishara ya heshima kupitia mtandao wa Facebook.
Kundi hilo ambalo halina muda tangu lianzishwe kwenye Facebook linaitwa “Support Prince Harry with a Naked Salute” na limekuwa maarufu duniani kote.
Katika picha hizo mashabiki hao wa Prince Harry wanaweka picha zao halisi kwenye kundi hilo huku wakiwa wamepiga salute kukiiunga mkono kitendo cha mtoto huyo wa pili wa Princess Diana cha kupiga picha za utupu zilizozagaa kwenye mtandao.
Vigezo vinavyotakiwa ni rahisi kwakuwa wanachama wake wanatakiwa kupiga picha wakiwa wamefunika sehemu zao za siri, “please cover your crown jewels, tag yourself in your photo as proof of your support to the nations favourite Royal!”
Kundi hilo lenye wanachama wa kila jinsia na umri mpaka Jumatano hii lina zaidi ya wanachama 19,910.
Haya ni miongoni mwa maelezo yaliyowekwa na baadhi ya wanachama kwenye picha zao kumpa salute Prince Harry.
“We salute you Sir! Vegas Baby…yea! if you can fight for us, you can wear your birthday suit anywhere you please. #salute4harry.”
“This is me being very brave all for this good cause. Prince Harry I salute you baby.”
“Prince Harry sir!!! You are a legend.”
“Salute for you Sir, plus 7 month pregnant tummy to go along with it!”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents