Burudani

Baabkubwa lamchefua Vanessa Mdee, aliwakia kwenye Twitter!


Mtangazaji wa MTV Base na Choice FM 102.6 ya Tanzania, Vanessa Mdee, jana aligeuka mbogo baada ya kile kinachoonekana kama kukerwa na jarida la burudani la Baabkubwa.
Vanessa analishutumu jarida hilo kwa kuandika habari za uongo, kuchafua majina ya watu, Kiingereza kibovu miongoni mwa mambo mengine.

Alitweet:

Vannesa ambaye pia ni mwanaharakati wa masuala ya HIV/AIDS, alimalizia kwa kuweka nukuu isemayo,

Hatujaweza kufahamu ni habari gani mbaya waliyoiandika watu wa Baabkubwa kuhusu mrembo huyo lakini inaonekana imemchafua kwa kiasi kikubwa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents