Promotion

Mashindano ya magari viwanja vya Posta

Posta_face

Mashindano ya kumtafuta mpiga misere wa magari ambaye anaweza kuzunguka kwenye njia maalumu iliyojengewa kwa kamba. Mashindano haya yanaendelea kufanyika katika viwanja vya Posta Kijitonyama. Airtel ni mongoni mwa wazamini wa shindano hilo, na haya ni baadhi ya magari yalivyokuwa yakishiriki.


posta_mwanzo

Hapa ndipo magari huanza safari zake za kuzunguka kona za hapa na pale katika viwanja vya Posta…Kijitonyama

posta_gari

posta_mzima_moto

posta_gari_bovu

Huyu alizima na akawa analisukuma, lakini lilipowaka ndipo balaa akaliendeleza kwa kupiga misele ya nguvu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents