Diamond Platnumz

Mbagala wamliza Vanessa Mdee

ommy 1

Pamoja na kupiga show ya nguvu jana kwenye uwanja wa taifa wa burudani, Dar Live uliopo maeneo ya Mbagala, Dar es Salaam, Vanessa Mdee aliondoka na huzuni baada ya wajanja ‘kumchapa’ blackberry yake.

Kupitia Twitter, Vanessa ameandika:
ommy 2

Pamoja na hivyo show yao pamoja na Diamond ilifana sana huku Vanessa akimshukuru Ommy kwa kumwamini na kuamua kumshirikisha kwenye wimbo wake ‘Me and You’ unaohit kwa sasa.

“S/O to Ommy Dimpoz for believing in me enough to let me sing on his record. Tell my momma smgonja beat me,” alitweet Vanessa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents