DStv Inogilee!

Mhhhhh: Huddah Monroe apost picha ya Diamond Platnumz ‘akioga’ na kuandika….

Unakumbuka kwenye interview aliyofanya na Bongo5, mrembo wa Kenya Huddah Monroe alikiri kuupenda muziki wa Diamond? Basi huenda model huyo aliyeiwakilisha Kenya mwaka huu kwenye shindano la Big Brother Africa aka The Chase anazidi kukoma na swagga za mtoto wa Mbagala Nasib Abdul aka Rais wa Wasafi!

bf610aa8eb9311e2b9a022000a1fa535_7

Leo kwenye Instagram, Huddah amepost picha ya Diamond akiogelea na kuandika: ‘This nigga Diamond Platnumz..badder than most….Better a Diamond with Flaws than a pebble without one….’

Mhhhhhh!!

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW