Bongo Movie

Mke wangu alidhani ntaolewa kweli kwenye filamu yangu ‘Nimekubali kuolewa’ – Dr. Cheni

Mke wa msanii wa filamu, Dr.Cheni aliikataa filamu ya mume wake itwayo ‘Nimekubali Kuolewa’ kwa kudhani mume wake ataolewa kweli.

NIMEKUBALI_KUOLEWA_POSTER_PLAIN copy

Kupitia Instagram, Cheni ameandika: Wife naye ameiruhusu movie itoke nimemwelewesha kuwa sijaolewa kweli nimeolewa kimovie tu amekubali itoke dah ndoa hizi.”

Baada ya kuwa imekataliwa na bodi ya filamu, ‘Nimekubali Kuolewa’ imeingia sokoni rasmi Jumatano huku ikitarajiwa kuuzika zaidi kutokana na utata wa filamu hiyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents