Michezo

Mourinho asindikizwa na jeshi la polisi baada ya kutua Uingereza

Mourinho asindikizwa na jeshi la polisi baada ya kutua Uingereza

Meneja wa klabu ya Manchester United, Jose Mourinho pamoja na kikosi chake wamejikuta wakipata msaada wa jeshi la polisi baada ya kutua nchini Uingereza wakitokea kwenye ‘tour’ yao ya maandalizi ya msimu Marekani.

Mourinho is walked to his Jaguar outside the airport alongside a minder and armed policemen

Mourinh anakuwa meneja pekee aliyebaki msimu huu Uingereza mabaye anapigiwa upatu kuondoka United kufuatia maendeleo yake kutoridhisha mashabiki wengi wa timu hiyo.

The Manchester United manager's driver waits for his passenger while chatting to an officer

Vyombo vya habari vimeripoti kuwa mara baada ya meneja huyo kutua kwenye uwanja wa ndege wa Manchester wakitokea Marekani walipatiwa msaada wa polisi wa kuwasindikiza kwa kuhofia vurugu ambazo huenda zingefanywa na mashabiki wa timu hiyo.

New signing Fred dragged three cases with him outside the airport in Manchester

Kwasasa United imerejea Uingereza kujiandaa na ligi kuu ya Uingereza huku ikionekana kutokuwa vizuri kwenye kikosi chake msimu huu.

Mourinho was the first of United's party to leave the airport and he jumped straight into his car

Andreas Pereira wore orange trainers as he left the airport

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents