Burudani ya Michezo Live

Mtu akitoweka nyumbani kwake sisi hatuhusiki – Waziri kangi Lugola (+video)

waziri wa Mambo ya Ndani ya nchi amesema kuwa mtu akitoweka nyumbani kwake wao kama wizara hawaingilii kwasababu kila mtu ana uhuru na hawahusiki, kauli hiyo imekuja baada ya mwandishi wa habari kumuhoji kupotea kwa mwandishi wa gazeti la mwananchi ndugu Azory Gwanda.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW