Bongo Movie

Muigizaji wa filamu Haji Adam ahitimu stashahada ya Sanaa ya Maigizo, Bagamoyo

Mwigizaji wa filamu Haji Adam leo ametunikiwa Stashahada ya Sanaa ya Maigizo na filamu toka chuo cha sanaa Bagamoyo.

IMG-20130928-WA0000

Katika mahafali yaliyofanyika kwenye ukumbi wa chuo hicho Haji pamoja na wahitimu wengine wamepata zawadi na vyeti mbalimbali toka kwa uongozi wa chuo hicho.

“Kwakweli nina furaha sana siku ya leo, namshukuru Mungu nimemaliza salama na natumai nikipumzika nitaendelea na masomo zaidi hapo mwakani,” Haji aliuambia mtandao wa Bongomovies.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents