Shinda na SIM Account

Mwenyekiti mpya wa Simba kwamara ya kwanza afunguka, Mwina Kaduguda akataa kusema chochote kwa waandishi

Mwenyekiti mpya wa Simba kwamara ya kwanza amezungumza na wanahabari mara baada ya kutangazwa kuwa rasmi anashika nyadhifa hiyo wakati wajumbe wake wakipata fursa hiyo ya kusema machache, Mwina Kaduguda kwa upande wake amewakatalia waandishi hao kuzungumzia chochote.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW