Michezo
Afande aliyowania uongozi Simba afunguka haaya kuhusu namna avyoyapokea matokeo (+Video)
Mgombea nafasi ya ujumbe wa klabu ya Simba, Abuubakari Zengo au Afande Abuu ameelezea namna alivyoyapokea matokeo ya uchaguzi na sababu za kugomea kusaini karatasi za matokeo ya kura.