Michezo

NBA: Golden State Warriors yainyuka Cleverland katika fainali ya kwanza

Timu ya kikapu ya Golden State Warriors kutoka kanda ya Magharibi imefanikiwa kushinda katika mchezo wa fainali ya kwanza ya NBA dhidi ya Cleverland Cavaries katika mchezo uliochezwa Alhamisi hii katika uwanja wa Oakland, Calif.

Katika mchezo huo Golden wameshinda kwa jumla ya vikapu 113 dhidi ya 91 vya Cleverland.

Kevin Durant alikuwa nyota wa mchezo huo kwa upande wa Worriors baada ya kushinda jumla ya vikapu 38 huku Stephen Curry added 28.

Timu hizo zitakutana tena siku ya Jumapili katika mchezo wa fainali ya pili.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents