Burudani

New Music Video: Jaguar – Huu Mwaka

Jaguar ametoa kazi mpya kwa mwaka 2015, ni video ya wimbo wake ‘Huu Mwaka’ iliyoongozwa na Godfather.

Wimbo unazungumzia mtu masikini ambaye ameweka malengo ya kupata maisha mazuri mwaka huu.

kwenye video hiyo Jaguar ameigiza kama mtu masikini anayeishi kijijini,na baadaye anaamua kwenda mjini kutafuta kazi za ndani kwa tajiri wa kizungu. Mwisho wa Video Jaguar anaonekana akiwa amefanikisha malengo yake na kuanzisha familia yenye maisha mazuri.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents