Diamond Platnumz
New Song: Kigoma All Stars – Leka Dutigite
Huu ni wimbo wameimba wasanii wa kigoma wote, Kigoma All Stars (MWASITI, BANANA ZORO, CHEGE, DIAMOND, ABDU KIBA, OMMY DIMPOZ, RECHO, LINEX, BABA LEVO, MAKOMANDO NA PITA MSECHU). Dhumuni na nia ya kutengeneza wimbo huu ni kuweka umoja wa watu wa kigoma na tanzania kwa ujumla. Pia watafanya show ndani ya kigoma wiki ijayo kwa ajili ya kusaidia wanafunzi na yatima ndani ya kigoma.