Videos
New Video: Future ft Nicki Minaji – You Da Baddest
Ikiwa ni wiki moja tangu atuwe Bongo na kufanya show kali, rapper kutoka Marekani Future, ameachia video ya wimbo wake’You Da Baddest’ aliyomshirikisha rapper wakike Nicki Minaji.