Videos
New Video: Heri Muziki X Jacan – Yo Mine
Heri Muziki na rapper Jacan wameachia video ya ngoma yao mpya inayoita ‘Yo Mine’. Wimbo umetayarishwa na Christon wakati video ikiongozwa na Luca Swahili.