Videos

New Video: K Muco f/ Poro – Cassava

Msanii K Muco kutoka Kigoma ambaye anafanya kazi zake za muziki nchini Marekani, ameachia video ya ngoma yake mpya ya kwanza ‘Cassava’ ambao ni staili ya Trap. Wimbo huo amemhirikisha Poro kutoka Burundi. Tazama video hiyo hapa chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents