Videos
New Video: Lady Jaydee f/ Luciano – Anaweza
Malkia wa muziki wa Bongo Fleva Lady Jaydee ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Anaweza’ ambao amemshirikisha msanii mkongwe ktoka Jamaica, Luciano. Wimbo umetayarishwa na Spicymusik wakati vieo imeongozwa na Justin Campos a Afrika Kusini.