Videos
New Video: Major Lazer ft Cashmere Cat, Tory & Lanez – Miss You
Baada ya kufanya vizuri na ngoma yao ‘Buscando Huellas’, Kundi la watayarishaji wa muziki na Madj kutoka Marekani, Major Lazer limeachia video ya wimbo wao mpya ‘Miss You’, wakiwashirikisha Cat, Tory & Lanez . Itazame hapa.