Burudani ya Michezo Live

Nikki wa Pili na Siza wa CloudsFm wafungua duka la vitabu, Watangaza fursa kwa vijana “Tutagawa bure ” – Video

Taasisi ya @smartgeneration_tz iliyopo chini ya @nikkwapili Mtangazaji wa CloudsFM @officialcza leo imezindua mradi wake wa kusambaza vitabu kwa vijana, ikishirikiana na Taasisi ya African Aid foundation.

Kwa sasa wana vitabu zaidi ya laki moja, na wanakaribisha taasisi zote ambazo ziko tayari kushiriki nao.

Mbali na hilo wameeleza kuwa watoto fursa kwa vijana ambao wataenda kupanga vitabu vile na taratibu zote zitakazohitaji katika utaratibu wa kupokea na kusambaza vitabu vile.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW