Diamond Platnumz

On to the next One: Baada ya kutua Dar na private jet, Diamond ashoot tangazo la Cocacola (picha)

Ukimpigia simu na Diamond Platnumz na isipokelewe, usimind sana, sababu hafanyi makusudi, anakimbizana na schedule za kupiga hela tu.

b2944eee000a11e3bbe622000a9f1270_7

Baada ya jana Cocacola kumchukulia private jet toka Nairobi hadi Dar es Salaam, Bongo Flava Prince, Nasib ameingia mzigoni kushoot tangazo jipya la Cocacola. Kwenye picha za utengenezaji wa tangazo hilo alizoziweka kwenye Instagram, Diamond anaonekana akitembea huku akinywa soda hiyo.

e1e482d8000811e3a91a22000a9e089b_7

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents