Michezo
Picha: Cristiano Ronaldo aonesha viatu vyake vipya vya CR7
Mshambuliaji wa Real Madrid, Cristiano Ronaldo ameonesha mkusanyiko wa viatu vyake vipya vya CR7.
Awali Ronaldo ameshawahi kutoa nguo zake za ndani, mashati na perfume.
Viatu hivyo vinapatikana kwa paundi 70.