Michezo

Picha: Gari jipya la mshambuliaji wa Leicester City Jamie Vardy baada ya kusain kataba mpya wa miaka 3

Mshambuliaji wa klabu ya Leicester City ya England, Jamie Vardy amenunua gari jipwa, hii ni baada ya siku chache tu kuingia mkataba mpya wa miaka mitatu na nusu na klabu yake hiyo.

3142D55200000578-3449230-Jamie_Vardy_leaves_Leicester_s_training_ground_in_168_000_Bentle-a-2_1455631837053

Gari hilo aina ya Bentley Continental lina thamani pauni 168,000, Vardy ambaye anaongoza kwa mabao ya kufunga katika Ligi Kuu England sasa atakuwa anapokea pauni £80,000 kwa wiki gari hiyo pia aweka jina lake na namba 9 ambayo namba ya jezi yake.

3142D52900000578-3449230-He_was_recently_rewarded_with_new_three_and_a_half_year_deal_at_-a-4_1455631842649

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents