Michezo

Picha: Jennifer Lopez na Pitbull wapamba sherehe za ufunguzi wa kombe la dunia 2014, Brazil

Maelfu ya mashabiki wamejitokeza jioni ya leo kwa saa za Brazil (June 12) katika sherehe za ufunguzi wa fainali za kombe la dunia 2014 kwenye uwanja wa ‘Arena de Sao Paulo’ nchini Brazil, ambapo Jennifer lopez, rapper Pitbull na mwimbaji wa Brazill Claudia Leitte wametumbuiza mbele ya mashabiki waliofurika kwa wingi na kuimba wimbo rasmi wa kombe la dunia kwa mwaka huu ‘We Are One (Ola Ola)’.

b1

Maandalizi ya sherehe hizo za ufunguzi yalifanywa kuanzia March mwaka huu, na jumla ya masaa 84 yalitumika kwaajili ya rehearsal za sherehe hizo.

b3

Mechi ya ufunguzi wa michuano hiyo inafanyika usiku huu kati ya wenyeji Brazil na Croatia.

b2

b8

b4

b5

b6

b7

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents