Burudani

Picha: Mariah Carey akila bata na bilionea aliyechukua nafasi ya Nick Cannon

Baada ya kuachana na mume wake Nick Cannon aliyezaa naye watoto wawili mapacha, Mariah Carey anaonekana kusonga mbele na kuanzisha uhusiano na bilionea James Packer, mmiliki wa macasino nchini Marekani.

carey-2

Mariah ameonekana akila bata la hatari na tajiri huyo anayezunguka naye kwenye nchi mbalimbali na weekend hii walikuwa Italia.

carey-2

carey-3

carey-4

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents