Tupo Nawe

Picha: Mashabiki wamkosoa Wiz Khalifa kumbusu mama yake mdomoni kwenye Golden Globes Awards 2016

Rapper wa Marekani, Wiz Khalifa weekend iliyopita alikuwa ni mmoja wa mastaa waliohudhuria kwenye tuzo za Golden Globes Awards 2016.

wiz na mama kiss

Wiz aliambatana na mama yake mzazi Katie ‘Peachie’ Wimbush kwenye tuzo hizo, na wakiwa kwenye red carpet walibusu midomoni mbele ya wapiga picha, kitendo ambacho kimekosolewa na watu wengi wakidai sio sawa kwa mama na mwanaye wa kiume kubusu kwenye midomo kwa namna hiyo.

wiz na mama-1

Hizi ni baadhi ya comments za watu:

“I loved my mother!!!! But something wrong about kissing your mother full on the lips in front of the worlds press… maybe its just me!!!!”

“That kiss does not look right.”

Tuambie maoni yako hapo chini kuhusu busu hiyo.

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW