Michezo

Picha: Sanchez na jezi ya Man United, Mkhitaryan na Arsenal

Hakuna ubishi katika dirisha hili dogo la usajili barani Ulaya, usajili wa Alexis Sanchez na Henrikh Mkhitaryan ndio umeteka sana vichwa vya habari. Hatimaye hapo jana klabu ya Manchester United na Arsenal walimaliza tetesi hizo kwa kila timu kumtambulisha mchezaji wake ambao walifanya mabadilishano.

Kwa hatua hiyo kwa sasa Sanchez atakuwa ndio mchezaji anayelipwa mshahara mkubwa zaidi katika ligi ya Uingereza. Mchezaji huyo atakuwa anapokea kiasi cha paundi 350,000, haki za matangazo atakuwa analipwa paundi 100,000 pamoja na nyongeza/ziada (bonus) ya paundi 140,000.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents