Picha

Picha za Watanzania walioko Afrika Kusini wanaofuatilia taratibu za kuletwa mwili wa Mangwea nchini

Hizi ni picha zinazowaonesha Watanzania waliopo nchini Afrika Kusini wakiendelea na taratibu za kuuleta mwili wa marehemu Albert Mangwea nchini.

1 (600x450)

2 (600x450)

3 (600x450)

4 (600x450)

Watanzania waliokusanyika kuangalia utaratibu wa kusafirisha mwili wa marehemu Albert Mangwea

5 (600x450)

Millard Ayo akifanya interview na promota Mtanzania ambae alikua tayari na kazi
ya show tatu za ziada ya Ngwea kabla hajafariki, zilipangwa kufanyika siku kadhaa
zijazo.

6 (600x450)

6 (600x450)

8 (600x450)

9 (600x450)

10 (600x450)

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents