Videos
Video: Victoria Kimani feat. M.I – Oya
Victoria Kimani mwanamuziki mrembo wa kike mzaliwa wa LA Marekani lakini mwenye asili ya country code +254 Kenya, ameachia video mpya ya wimbo wake “Oya” aliyomshirikisha rapper kutoka Nigeria Mr Incredible “M.I”. Ingia ndani kuitazama video.