Aisee DSTV!

Priyanka Chopra na mpenzi wake Nick Jonas wameonekana wakila bata Texas

Mwanamitindo na muigizaji wa nchini India, Priyanka Chopra ameonekana akifurahia maisha akiwa na mpenzi wake Nick Jonas huko Texas nchini Marekani.

Cool: Priyanka shared a picture of herself posing with Nick on her Instagram page; brother Joe is in the orange top in the background

Chopra na mpenzi wake wameonekana huko kusini mwa Marekani wakifurahia mahusiano yao, Dallas, Texas wiki hii.

Nick Jonas and fiance Priyanka Chopra have been enjoying the ranch life at the Jonas family ranch in Dallas, Texas; brother, Joe Jonas, is pictured in the orange right behind Nick

Hapo jana siku ya Jumanne wawili hao wameposti picha katika mitandao yao ya kijamii ya Instagram huku, Nick akiandika ujumbe wa ‘Out on the ranch.’

Wardrobe change: The 36-year old star changed into a dark blue ensemble later in the day

Nick akionekana kuwa na ‘moustache’ huku akitumia goti lake kuwa kama kiti ambapo, Priyanka amekalia bila wasiwasi huku wawili hao wakiwa wamevalia mfano wa kombati za jeshi.

Wedding bells ringing: The couple got engaged at Priyanka’s home in Mumbai, India in August

Priyanka mwenye umri wa miaka 36 amekuwa pamoja na mpenzi wake Nick ambaye alikuwa akisherehekea siku ya kuzaliwa Jumamosi hii iliyopita.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW