DStv Inogilee!

Qchief kwa Pilato tena April 28!!

Upelelezi wa kesi ya vifaa vya Manispaa ya Ilala vyenye thamani ya Sh Milioni 5,iliyokuwa ikimkabili msanii wa miondoko ya kizazi kipya Abubakar Katwila, au Q-Qchillah umekamilika na kesi hiyo itamrudisha rasmi msanii huyo kwa Pilato ifikapo Aprili 28.

Q-Chillah

Akiomba kuahirishwa kwa kesi hiyo, Mwendesha Mashitaka, Inspekta Msaidizi wa Polisi,Bennet Kipasika, alidai kuwa upelelezi umekamilika, na mtuhumiwa atakuja kwa ajili ya kusomewa maelezo ya awali na ushahidi kuanza kusikilizwa.

Hakimu Mkazi, Farida Mohamed, aliahirisha kesi hiyo hadi Aprili 28, itakapokuja kwa ajili ya kusikilizwa,ilidaiwa hapo kwamba, Januari 30 mwaka huu,kwenye Ukumbi wa Korea…Q-Chief (Qchillah), aliiba vifaa hivyo vyenye thamani ya sh milioni tano mali ya Manispaa ya Ilala.

  • SOURCE: Darhotwire

{mos_sb_discuss:8}

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW