Michezo

Ratiba ya robo fainali kombe la FA England

Ratiba ya hatua raundi ya 6 kombe la FA England imetoka huku timu ya Chelsea itaeanda uwanja wa Goodison Park,kucheza na Everton baada ya kuitoa Manchester City kwa kuifunga mabao 5-1 usiku wa kuamkia leo katika Uwanja wa Stamford Bridge, London.

316D24B800000578-3457280-image-a-15_1456076769990

Klabu ya Arsenal wakifanikiwa kuitoa Hull City katika mchezo wa marejeano watacheza dhidi ya klabu ya Watford.

Manchester United leo itacheza na Shrewbury na kutokana na ratiba ya FA Cup Raundi ya 6, mshindi wa mechi atakutana na West Ham.

Mechi za Robo Fainali za Kombe la FA zitachezwa Machi 11 na 14 mwaka huu.

Hii ndo ratiba ya kombe la FA England FA

Reading Vs Crystal Palace
Everton Vs Chelsea
Arsenal/Hull City Vs Watford
Shrewsbury Town/Man Utd Vs West Ham

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents