Jiunge ufaidi miezi 2 bure!

Remy Ma aja na freestyle nyingine, ‘I look good in real life, you look good in pictures’

Ulitamani kusikia freestyle mpya kutoka kwa rapper Remy Ma?

Mrembo huyo amekata kiu za mashabiki wake kwa kuachia Freestyle hiyo inayoitwa ‘Set Trippin’ ambayo aliifanya kwenye ukumbi wa Irving Plaza na ina urefu wa dakika moja na sekunde 34.

“I’m so different from you bitches. I look good in real life, you look good in pictures / Got my own money, but I still get his / Got side-chick pussy with wife privileges,” amerap Remy kwenye freestyle hiyo.

Hapa chini ni show ya Freestyle hiyo aliyoifanya.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW