Picha

Rihanna kampiga dongo Chris Brown kwenye t-shirt hii?

Hivi karibuni camera zilizo sharp kunasa matukio zilimuotea the most controversial singer, Rihanna katika mitaa ya jiji la New York akiwa amevaa t-shirt yenye picha moja yenye utata na yenye maneno D.I.Y yaani ‘Do it Yourself.’

riri tshirt2

Picha hiyo inamuonesha msichana aliyevaa bikini na mkono wake mmoja ukiwa umeshika maeneo ya geti la Ikulu (if you know what we mean!). Je Hii ni message kwa Chris Brown kuwa hata kama hawako pamoja bado RiRi anaweza kufanya mwenyewe (kama kwenye picha)?

Wiki iliyopita Rihanna na Chris Brown walijikuta wakiandikiana ‘indirect tweets’ zilizokuwa wazi kuwa zina uhusiano na matatizo yaliyojitokeza kati yao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents