Michezo

Sakata la wachezaji wa Simba na TFF lamalizwa, Manara asema wachezaji na uongozi hauna kinyongo kwa maslahi ya nchi (+video)

Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) kupitia kwa msemaji wake, Clifford Ndimbo amesema kuwa wamemalizana na klabu ya Simba juu ya sakata kuenguliwa wachezaji sita wa timu hiyo kunako Taifa Stars kwa madai ya utovu wa nidhamu huku, Haji Manara aliye wawakilisha mabingwa hao wa ligi kuu Tanzania Bara kwa upande wake ameongeza kuwa wachezaji na uongozi mzima hauna kinyongo wanachoomba ni ushirikiano wa Watanzania wote.

 

 

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents