Tazama video mpya ya Jah Prayzah iliyotengenezwa Hispania

Msanii wa Zimbabwe Jah Prayzah ameachia video ya ngoma yake mpya ‘Angel Lo’ ambayo amemshirikisha Jah Cure. Wimbo umetayarishwa na Dj Tamuka, wakati video imetengenezwa nchini Hispania na Director Teekay.

Related Articles

Bongo5

FREE
VIEW