Burudani ya Michezo Live

‘Turudiane nao tu, tatizo watani wetu ni tantalila sana” (+Video)

Shabiki wa Yanga maarufu kama Mtoto wa Mwinyi Zahera amesema kuwa kutokana na usajili waliyofanya na matokeo ya Simba dhidi ya Mtibwa Sugar wao wapo tayari kurudiana na Mnyama bila shaka yoyote huku baadhi ya marafiki zake wakisema kuwa Watani wao wamezidi mdomo kuliko uwezo wa uwanjani.

 

 

 

 

 

Related Articles

Back to top button
Close
Bongo5

FREE
VIEW