Burudani
Twanga ndani ya viwanja vya Posta
BENDIĀ ya muziki ya Twanga Pepeta imefanya shoo katika viwanja vya Posta vya Kijitonyama kwaajili ya kupongeza Simba na Yanga katika sherehe za miaka 50 ya uhuru ambazo zimekuwa zikifanya na bia ya Kilimanjaro
Mwanamuziki wa muda mrefu muumini alikuwa sambamba na Luiza Mbutu
Kama kawaida Khadija Kimobitel hakukosa jukwaani
Madance wa Twanga nao wamo