Burudani

Ukimya wangu umezua gumzo – Z Anto

Msanii wa muziki Bongo, Z Anto amedai ukimya wake ni kitu ambacho kinawatesha mashabiki wake.

Muimbaji huyo ameimbia Bongo5 kutokana na hilo amejianda kuachia ngoma mpya hivi karibuni ambayo video yake anatarajia kwenda kuifanya nchini Afrika Kusini.

“Hivi karibuni wategemee kuona kazi mpya na ujio rasmi wa Z kwa sababu ukimya wangu umezua gumzo kubwa, jamaa ana uwezo mkubwa kwanini harudi lakini nataka nivunje huo ukimya,” amesema.

Mwaka jana Z Anto alitoa wimbo mpya unaokwenda kwa jina la Kacheze Unapochezaga baada ya ukimya wa muda mrefu, wimbo huo umefanya vizuri kwa kiasi fulani.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents