Soka saa 24!

Vanessa Mdee awapatia zawadi mashabiki zake kwa kuachia video kali ya ‘The Way You Are’

Msanii wa muziki nchini, Vanessa Mdee ameachia video ya wimbo wake mpya unaojulika kama ‘The Way You Are’ zikiwa zimepita siku chache tu tangu kutoa kibao chake cha ‘Bambino’ akimshirikisha Reekado Banks.

Kupitia ukurasa wake wa Instagram msanii huyo ameandika ujumbe kuwa hiyo ndoyo zawadi aliyowaandalia mashabiki zake.

Kama umesubscribe kwa YouTube yangu basi utakuwa ushaiona zawadi niliyokuandalia and you’re beautiful just the way you are

Vanessa Mdee ni miongoni mwa wanamuziki wakubwa hapa nchini Tanzania na Afrika kwa ujumla hivyo mashabiki zake wanatarajia makubwa zaidi kutoka katika hiyo aliyoachia.

Related Articles

Back to top button
Bongo5

FREE
VIEW