Videos
Video: Eric Omondi airudia ‘Kwa Ngwaru’ ya Harmonize na Diamond, itazame hapa
Mchekeshaji kutoka nchini Kenya, Eric Omondi amezidi kuonyesha ukubwa wa kipaji chake mara baada ya kuachia ngoma yake mpya ‘Kiwaru’ akishirikiana na Antonio, wimbo huo original yake ni wimbo wa Harmonize na Diamond ‘Kwa Ngwaru. Itazame hapa.