Bongo Movie

Video: Lulu adai ‘copy and paste’ inazamisha Bongo Movie

Msanii wa Filamu Tanzania Elizabeth Michael a.k.a Lulu amebainisha moja ya sababu ya zinazopelekea soko la filamu Tanzania (Bongo Movie) kushuka.

Akiongea na Bongo5, Lulu amedai kuwa wasanii wengi wamekuwa wanafuata upepo katika sanaa kwa kuona mtu mmoja amefanikiwa na wengine wanaiga wakidhani kuwa watafanikiwa pia.

“Binafsi naweza kusema kuwa kuna sehemu moja tulikuwa tunaitazamia, unajua kuna kitu kinatokea kama upepo ukiona mtu kafanikiwa kwa kitu fulani wote tunataka kwenda kwenye same direction,” amesema Lulu.

Pia mrembo huyo ameongeza kuwa “Kuna mtu mmoja alifanikiwa sehemu mmoja na sisi wote tukawa tunataka kukopi the same direction, so that is a Problem,” amesema Lulu.

Na Laila Sued

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents