Diamond Platnumz

Video: Mashabiki wa Mombasa wawaponda chupa wasanii wengine baada ya Diamond kuchelewa kupanda stejini

Jana Diamond Platnumz alithibitisha kuwa ndiye msanii anayependwa zaidi Afrika Mashariki baada ya mashabiki wa Mombasa kuwarushia chupa wasanii wengine waliokuwa wakitumbuiza wakimtaka yeye apande kwenye stage baada ya kumsubiria kwa muda mrefu.

http://youtu.be/5lrkTZfLH88

“Diamond was forced to appear on stage hurriedly after fans who had been waiting for his performance for hours started hurling bottles on the stage when other artists were performing. But once he took the stage, his fans never went back to their seats,”wameandika NTV.

“They had been kept waiting for too long for their prince, even the master of ceremony was not spared he was booed as the fans demanded that Diamond be brought to the stage,” imesema taarifa hiyo

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents