Michezo

Video: Mwalimu Kashasha amchambua Alikiba ‘anataka kuwa staa na kwenye soka lazima akubali kuacha moja’

Mchambuzi mahiri wa mchezo wa soka nchini, Mwalimu Alex Kashasha amemzunguzmia msanii wa muziki wa Bongo na mchezaji watimu ya Coastal Union ya Tanga, Alikiba namna ya kukabiliana na mikikimiki ya ligi kuu wakati huo huo kuendeleza sanaa yake.

Related Articles

31 Comments

  1. mi nafikiri watu wenye utimamu na wako critical katika upeo wao wa kufikiri nahisi hawatoongea upuuzi wakishabiki kama baadhi ra raia wanavyotoa comments zao……jus sit down en mnjaribu kuhoji ni kwanin katoa kauli hio

  2. Kashaha nakustay to ila ukae uki jua hina uwalimu wowote hilo la kwanza pili huna elimu ya football hata chembe mpuuz mkubwa ww au ndio una tafuta kiki hata hao wanao kupa hiyo dili nina imani ww ukaka don chidu huto amua hata moja acha vitu ucvyo vijua mona hasamoa alikua ana cheza mpira na kuimba ww mwwhu kweli lione kwanza devu lile kama ngwambiko ya kuangukia sufi kwenda huko

  3. #mayah i think i gat yo bro ..ushabik hautoweza kuuzima ukweli lets see but kwa ninavyojua kiba kaenda ila lengo la coastal ni wamelenga mauzo ya jezi na kujiongezea mashabiki ila sio kwamba kiba ni bora katika safu ya ushambuliaji..na ndiomaana mchambuzi kakwambia kama kweli anataka afanye vizur inabidi kimoja aache tu tuache ushabiki usio na maana

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents