Michezo
Video: Mwalimu Kashasha amchambua Alikiba ‘anataka kuwa staa na kwenye soka lazima akubali kuacha moja’
Mchambuzi mahiri wa mchezo wa soka nchini, Mwalimu Alex Kashasha amemzunguzmia msanii wa muziki wa Bongo na mchezaji watimu ya Coastal Union ya Tanga, Alikiba namna ya kukabiliana na mikikimiki ya ligi kuu wakati huo huo kuendeleza sanaa yake.
huyo mwalimu kashasha hatakuwa anawashwa hawezi kumpangia #kingkiba chakufanya
bongo five bhana
Neymar anavitu zaidi2 nabado ni Star.
uncivilized society
hata yeye cyo mchambuzi mzuri
Kweli kabisa mwalim.
Daah noma asee
mwalimu huyo ni mwehuuu au !? kwaiyo kama ana mixte noma wapi ?
Maana Kiba anajuwa mengi, yaani ana talent
Mashabiki wa Kiba unawatambuaga kwa mapovu kwenye mitandao. Ila mi nasoma comments tu
kwaiyo mubunge profesa j naye achaguwe kimoja
Huyu nae boya,badara ya kumsifia kwamba ana vipaji yeye analeta ukauzu wake..mijitu mingine bwana,kichwani uozo mtupu.
hatupangiwi kiba kapelekwa pale kwa malengo maaluum
MZEE UMENENA
non critical thinking ….fikiria alichokiongea mchambuzi na ukimuelewa i think utaifuta tu comment yko
Hilo neno
kaongea uhalisia coz mpira unaitaji muda mwingi sana so lazma kuna kimoja kitamkwamisha tu subiri uone
mi nafikiri watu wenye utimamu na wako critical katika upeo wao wa kufikiri nahisi hawatoongea upuuzi wakishabiki kama baadhi ra raia wanavyotoa comments zao……jus sit down en mnjaribu kuhoji ni kwanin katoa kauli hio
KUJIANGUSHA NA KIPAJI KIPI KINGINE,,,
Kashaha nakustay to ila ukae uki jua hina uwalimu wowote hilo la kwanza pili huna elimu ya football hata chembe mpuuz mkubwa ww au ndio una tafuta kiki hata hao wanao kupa hiyo dili nina imani ww ukaka don chidu huto amua hata moja acha vitu ucvyo vijua mona hasamoa alikua ana cheza mpira na kuimba ww mwwhu kweli lione kwanza devu lile kama ngwambiko ya kuangukia sufi kwenda huko
Nasema haiwezkn .
Smarsh King Pjay kwahio unaamin wachambuz kuliko moyo wako unachotaka
Swali langu hilo umeniwahi…..muullize kwanza kha
Huyu kijana kwanza sio star kwahiyo akitafuta ustar kwenye mpira sio mbaya akazane
Ally kiba Fanya kile moyo unapenda usiskilize ya watu
#mayah i think i gat yo bro ..ushabik hautoweza kuuzima ukweli lets see but kwa ninavyojua kiba kaenda ila lengo la coastal ni wamelenga mauzo ya jezi na kujiongezea mashabiki ila sio kwamba kiba ni bora katika safu ya ushambuliaji..na ndiomaana mchambuzi kakwambia kama kweli anataka afanye vizur inabidi kimoja aache tu tuache ushabiki usio na maana
Kwako jese joni
Km vyote anaweza afanye tu
Kashasha Mkundu tuuuuu👌👌👌
Bongo bahati mbaya kashsha huwez kuwa mchambuz kwa taatifa yako kiba anamudu kote
kwani unaskia professor j akitoa nyimbo Mara kwa Mara au alafu yule ni mbumge sio mubunge kwanza soma kiswahili
Kashasha sio mchambuzi ni mpiga kerere tu kasha kuwa star awe star mara mbili