Michezo

Video: Ni rasmi Simba SC kukipiga na Sevilla FC/ TFF na Sportpesa zabariki/ sababu za kuachwa Yanga zatolewa

Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Wilfred Kidau kwa kushirikiana na kampuni  ya kubashiri michezo ya Sportpesa wametangaza rasmi kuwa mabingwa watetezi wa ligi kuu Tanzania Bara Simba SC ndiyo watakao wakabili klabu ya Sevilla FC inayoshiriki ligi ya La Liga nchini Hispania tarehe 23 ya mwezi wa tano (Mei 23).

 

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents