Burudani

TID awatolea povu zito mapromota ” Msanii wa nje hasa Nigeria analipwa hela kubwa kufanya show Tanzania kwa kipi, kwa Vocal ipi ambayo mimi sina” (Video)

TID awatolea povu zito mapromota " Msanii wa nje hasa Nigeria analipwa hela kubwa kufanya show Tanzania kwa kipi, kwa Vocal ipi ambayo mimi sina" (Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Khalid Mohamed alimaarufu TID amefunguka mengi kuhusu muziki wa bongo Fleva hasa akidai wasanii wa Tanzania wanaowaiga wasanii wa Nigeria hali ya kuwa kwenye malipo wanashindwa bila c yeyote. Akiongea na Bongo5 TID alifunguka hayo hasa akiwalaumu waandaaji wa show Tanzania kuwa wanawalipa wasanii wa nje hasa Nigeria dau kubwa kwa lipi..? kwa vocal gani..? ambazo yeye hana.

 

 

By Ally Juma.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents