BurudaniUncategorized
Video: Nilichovuna kupitia muziki wangu ni Elimu ya Chuo Kikuu – Mansu Li
Msanii mkongwe wa muziki wa Hip Hop, Mansu Li amefunguka kwa kudai kwamba kitu alichokivuna kupitia muziki wake ni kupata peza zilizomwezesha kurudi shule na kufanikiwa kuhitimu Bachelor Of Procurement And Supplies Management huko mkoani Mtwara. Rapa huyo amedai pesa ambayo ilimwezesha kwenda chuo aliipata kupitia mauzo ya albamu yake ya Kina Kirefu.