Burudani

Video: Nimefurahi kusikia hakuna tuzo za muziki Tz – Miss KK

Msanii wa muziki wa hip hop, Miss KK amefunguka kwa kusema kuwa alifurahi alivyosikia Tanzania mwaka huu hakuna tuzo za muziki. Rapa huyo amedai wasanii wengi wa Tanzania wanaimba muziki ule ule wa zamani ambayo hauwezi kamwe kufanya vizuri kimataifa huku akiwataka wasanii kufanya muziki wa tofauti ambao utawafanya wafike mbali zaidi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents