Michezo

 Video: Simba baada ya kupata ubingwa, hawatatupa presha kimataifa – Naibu Waziri wa Tamisemi

Naibu Waziri wa TAMISEMI, Joseph Kakunda akiwa Bungeni Jijini Dodoma hii leo siku ya Jumatatu amekipongeza kikosi cha Simba ambacho kipo hapo kwa ziara maalum na kusema kuwa furaha yake kubwa ni mara baada ya kuona timu hiyo imepata ubingwa waligi kuu Vodacom Tanzania Bara na sasa ninaamini kuwa Watanzania watapata wawakilishi kwenye michezo ya kimataifa ambao hawatawapatia presha kwakuwa vijana hao wanajua kucheza vizuri sana mpira wa miguu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents